24 | NEWSFOCUS November 06, 2018 www.mygov.go.ke Wanawake watafuta riziki katika migodi ya Taita Taveta ni mojawapo ya kaunti chache hapa nchini ambazo zina utajiri wa madini yenye thamani kubwa NA MOHAMED HASSAN KNA-MOMBASA L icha ya kuwa na utajiri mkubwa wa madini aina mbali mbali, wengi wa wakaazi wa Kaunti ya Taita Taveta wanaishi katika hali ya uchochole. Hata hivyo, hali hii inaweza kubadilika iwapo wananchi wa sehemu hii wanaweza kuelimishwa na kusaidiwa ili wamudu mbinu za kushiriki katika sekta ya madini kama njia ya kuimarisha hali ya maisha yao. Taita Taveta ni mojawapo ya kaunti chache hapa nchini ambazo zina utajiri wa madini yenye thamani kubwa. Mifano ya madini haya ni kama vile Yakuti (Ruby), Chokaa (Limestone) na Kijani Garnet, almaarufu Yellow Garnet. Kwa muda mrefu sasa makampuni kadhaa na mabwanyenye fulani wamekuwa wakipapia jasho la wachimbaji madini wanyonge kujinufaisha. Kwa sasa, baadhi ya wakaazi wa Kaunti ya Taita Taveta wakiwemo wananwake wameamua kuchuma mapato yatokanayo na uchimbaji wa madini. Dhana kwamba kazi ngumu na hatari ya kutafuta madini ni himaya ya wanaume imepitwa na wakati, kwani yamkinika akina mama wamejitosa katika ulingo wa uchimbaji madini kwa wingi na kwa umakinifu mwingi. Hofu ya unyanyasaji wa kijinsia ni baadhi ya sababu ambayo imewafanya wanawake wengi kuogopa kujihusisha na uchimbaji wa madini. Hata hivyo wakati Shirika la Habari la Kenya (KNA) lilipotembelea sehemu ya uchimbaji madini ya Kamtonga katika Kaunti-Ndogo ya Mwatate, ilikutana na akina mama wawili wakiwa machimboni wakisaka ‘raslimali’ hiyo adhimu inayoleta mapato makubwa. Catherine Wakesho na mwenzake Patience Maghube ni miongoni mwa wanachama wa kikundi cha Chawia (CBO) kilichobuniwa mwaka wa 2014 ili kujihusisha na uchimbaji wa madini kwa lengo la kujitafutia riziki. Kikundi hicho kinaongozwa na Senja Changanya ambaye ana ujuzi wa miaka mingi katika uchimbaji madini. Changanya amefundisha wananfunzi kutoka vyuo mbali Wanachama wa kikundi cha Chawia (CBO) Senje Changanya (kushoto), Patience Maghube na Catherine Wakesho wakionyesha jiwe la thamani walilopata katika chimbo ya Kamtonga, Kaunti ya Taita Taveta. MINISTRY OF HEALTH MINISTRY OF HEALTH REPUBLIC OF KENYA SUPPORT FOR EAST AFRICA’S CENTRES OF EXCELLENCE FOR SKILLS AND TERTIARY EDUCATION IN BIOMEDICAL SCIENCES–THE EAKI PROJECT. PROPOSED CONSTRUCTION OF EAST AFRICA’S KIDNEY INSTITUTE (EAKI) COMPLEX TENDER NO: MOH/EAKIP/ ICB/004/2018-2019 TENDER NOTICE ADDENDUM 1 Reference is made to an advertisement notice in MyGov publication issue on 9th October, 2018 regarding the above project. This was also published in the UNDB online and the AfDB website. TENDER REF.NUMBER TENDER DESCRIPTION The Ministry of Health wishes to inform all interested/participating prospective bidders that amendments have been done to the sections listed below: S/NO VOLUME VOL. I 1. 2. 3. SECTION AFFECTED Grand summary Specific Experience Key Activities Standard concrete work-1.8 Reinforcement General preliminaries VOL. 2 Section Hospital Building- Structural works Bill no.2 Architectural works 4. VOL. 3.2 Day works and schedule of rates Volume 2-Summary Cover page Page no. 3-223 1-42 2-153 2-253 to 2-255 2-264 2-285 to 2-287 2-421 to 2-423 2-429 to 2-430 Cover page Copies of the amended pages should be collected at Supply Chain Management Office, East African Kidney Institute Project ADB Prefabricated Block located at Ministry of Health Headquarters, Nairobi Afya House ,Cathedral Road, Off Ngong’ Road, during normal working hours ( 8.00am-1.00pm and 2.00pm -5.00pm {EAT}) or be downloaded from the Ministry Website; www.health.go.ke. Bidders to note that the date of submission remains 21st and conditions remain unchanged. November 2018 at 10.00 am EAT. All other parts, terms MOH/CGU/ONT/01/2018-2019 PRINTING, SUPPLY AND DELIVERY OF IMPLEMENTATION MANUALS, CLINICAL NUTRITION AND GUIDELINES FOR WORKPLACE SUPPORT FOR WOMEN UNDER FREE MATERNITY PROGRAMME TENDER CLOSING/ OPENING DATE 22ND NOVEMBER,2018 TENDER INVITATION NOTICE TENDER REF NO. : MOH/CGU/ONT/01/2018-2019 TENDER NAME : PRINTING, SUPPLY AND DELIVERY OF IMPLEMENTATION MANUALS, CLINICAL NUTRITION AND GUIDELINES FOR WORKPLACE SUPPORT FOR WOMEN UNDER FREE MATERNITY PROGRAMME The Ministry of Health invites interested and eligible tenderers in the AGPO category to participate in the following Open National Tender; For further information, Interested and eligible tenderers may download the tender document from the Ministry’s websites on: www.health.go.ke or a Tender document with detailed information may be obtained from Supply Chain Management Services Office situated on 5th Floor, Afya House Room513 during normal working hours. Tender document will be issued free of charge. Interested and eligible tenderers who download the tender document from the Ministry’s websites shall register with Supply Chain Management Services Office situated on 5th Floor, Afya House Room513 during normal working hours. Completed tender documents are to be enclosed in plain sealed envelopes marked with the tender Number: MOH/CGU/ONT/01/2018-2019 and Tender Name: PRINTING, SUPPLY AND DELIVERY OF IMPLEMENTATION MANUALS, CLINICAL NUTRITION AND GUIDELINES FOR WORKPLACE SUPPORT FOR WOMEN UNDER FREE MATERNITY PROGRAMME and must be deposited in the Tender Box at Afya House, 1st Floor or sent to THE PRINCIPAL SECRETARY MINISTRY OF HEALTH 6TH FLOOR, AFYA HOUSE, P.O BOX 30016-00100, NAIROBI. so as to be received on or before 22nd NOVEMBER, 2018 at 10.00 a.m. Tenders will be opened immediately thereafter at the GTZ Boardroom Afya House in the presence of bidders or their representatives who choose to attend. Late submission will not be accepted. Any canvassing will lead to disqualification of tenderer (s). Head Supply Chain Management Services For: Principal Secretary, Ministry of Health HEAD SUPPLY CHAIN MANAGEMENT SERVICES For PRINCIPAL SECRETARY
25 Publizr Home